À venir
novembre 2026
13 novembre 2026
Graduation ceremony
Fantasia pre and primary school
Uongozi wa Fantasia pre and primary school unawakaribisha ndugu wazazi, walezi, walimu na wageni wote katika mahafali itakayo fanyika hapa shuleni kwetu siku ya 13/11/2026. Karibuni sana tushirikiane na pamoja katika wakati huu wa furaha na watoto wetu wazuri
