Fantasia Pre and Primary School logo

Fantasia Pre and Primary School

Fantasia Pre and Primary School

Habari za Shule

Matangazo na taarifa kwa familia

New

31 Oktoba 2026 · Na Fantasia School

NewMpya kwa siku 7 · hadi 7 Novemba 2026

Dirisha la usajili wa wanafunzi limefunguliwa Sasa!

Tunapenda kutoa taarifa kuwa, hivi Sasa dirisha la usajili wa wanafunzi lipo wazi. ndugu wazazi na walezi tunawakaribisha kuwaleta watoto Ili wapate elimu Bora kupitia shule yetu

Soma zaidi